• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

ZAIDI YA WATOTO 1000 TEMEKE WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MACHO

Posted on: November 20th, 2020

Wilaya ya Temeke imeadhimisha siku ya mtoto Duniani kwa kuwafanyia uchunguzi wa macho Watoto Zaidi ya 1000, maadhimisho ambayo yamefanyika katika shule ya msingi Majimatitu Kata ya Mianzini Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.

Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu “ kuwekeza kwa Watoto wetu ni kuwekeza kwa Maisha yetu ya baadaye” yamefanyika yakipambwa na maswali ya papo kwa hapo  yaliyoulizwa kwa Watoto ili kuwapima ufahamu na kurushwa moja kwa moja Clouds Radio.

Akiongea wakati wa maadhimisho hayo  Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe Godwin Gondwe ametoa wito kwa wazazi na walezi kuhakikisha wanapima afya za watoto wao mara kwa mara angalau mara moja kwa mwaka kwa watoto wakubwa na kwa mama mjamzito ahudhurie kliniki si chini ya mara nne toka anapopata ujauzito ili apate maelekezo na ushauri wa makuzi bora ya mtoto.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke akiwa pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Majimatitu walioovaa mavazi ya kuzuia mvua waliyopatiwa na wadau wakati wa zoezi la upimaji wa macho.


Sambamba na hilo amewataka wazazi kuzingatia lishe bora kwa watoto kwa kufuata ushauri unaotolewa na wataalamu wa lishe ili waweze kukua kimwili na kiakili vilevile amesema Serikali pamoja na wadau itashirikiana kugharamia matibabu ya watoto wote waliobainika na matatizo wakati wa uchunguzi huo.

Aidha kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa Dkt Projest Mtasingwa amebainisha kuwa zoezi la upimaji limeenda vizuri na  matokeo ya uchunguzi wa macho uliofanyika kwa watoto katika shule ya msingi Majimatitu ni watoto 127 wamegundulika kuwa na maambukizi ya macho na tayari wameshapatiwa dawa, watoto 90 wamegundulika kuwa na aleji ya macho, mtoto mmoja amebainika kuwa na mtoto wa jicho pia watoto wapatao 7 wamebainika kuwa na matatizo ambayo yanahitaji matibabu ya kibingwa.

Mwisho Mkuu wa Wilaya amewashukuru wazazi na walezi kwa kuwaleta watoto wao kupimwa macho na pia wadau mbalimbali wakiwemo vyombo vya habari.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke