• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Ziara ya Menejimenti Manispaa ya Temeke

Posted on: November 9th, 2019

Timu ya menejimenti ya halmashauri ya manispaa ya Temeke ikijadiliana jambo baada ya ukaguzi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya Sekondari Kurasini 11 .


Timu ya Menejimenti ya halmashauri ya manispaa ya Temeke(CMT )Imefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa  katika mwaka wa fedha 2019/2020.Ziara hiyo imefanyika  mwishoni mwa wiki.

Miradi iliyokaguliwa ni  Ujenzi wa vyumba 16 vya madarasa,stoo na ofisi  shule ya sekondari kurasini 11.Ujenzi wa vyumba 6 vya madarasa shule ya sekondari mianzini ambayo ujenzi wake uko katika hatua ya kupaua,ujenzi wa jengo la ghorofa 2 la zahanati ya Yombo vituka ambayo ujenzi wake unaendelea.

Miradi mingine iliyokaguliwa wakati wa ziara hiyo ujenzi wa madarasa 2 ya wanafunzi wenye ulemavu shule ya msingi Mbagala kuu,ambapo jengo limefikia hatua ya lenta.Ujenzi wa bwalo la wanafunzi wenye ulemavu shule ya msingi Toangoma,ambapo ujenzi upo katika hatua ya  msingi.

Miradi mingine iliyokaguliwa ni ujenzi wa mabweni 2 kwa wanafunzi wenye ulemavu  shule ya msingi Toangoma,mradi huu upo katika hatua za ukamilishaji.Ujenzi wa kiwanja cha mpira  katika kata ya Makangarawe,mradi huu upo katika hatua za ukamilishaji.

Kadhalika ujenzi wa jengo la kituo cha afya zahanati ya Buza ambacho ujenzi wake upo katiks hatua ya umaliziaji. Ujenzi wa soko la Makangarawe ambalo ujenzi wake umekamilika,bado kuingiza umeme.Miradi ya viwanda  vidogo vya kufyatua matofali kwa kikundi cha vijana  cha Temeke na kikundi cha vijana Toangoma ambayo imekamilika,bado kuunganishiwa umeme , pamoja na mradi wa ujenzi wa barabara ya Mbosi yenye urefu wa kilomita 1.5, ambayo ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 90.

Aidha wakati wakikagua miradi hiyo, timu ya menejimenti imetoa ushauri na maelekezo   kuhusu namna ya kuboresha  miradi hiyo,ambapo wahusika katika utekelezaji wa miradi hiyo  wametakiwa kufanyia kazi ushauri na maelekezo hayo mara moja.

Jumla ya miradi 13 imekaguliwa, ambapo hadi kukamilika kwake,inakadiriwa kugharimu kiasi cha shilingi 8,896,112,286.Kati ya hizo, kiasi cha shilingi 4,507,161,556 ni kutoka katika mapato ya ndani ya halmashauri ya manispaa ya Temeke.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke