Idara za Elimu Msingi na Sekondari zinajishughulisha na majukumu ya Kusimamia, Kuinua na Kuboresha Maendeleo ya Elimu katika halmashauri ya Manispaa ya Temeke.
Aidha huduma zinazotolewa ni:
Wilaya ina jumla ya shule za Secondari zilizosajiliwa 63, kati ya hizo shule zinazomilikiwa na serikali ni 26 na zile zinazomilikiwa na watu binafsi ni 37.
jumla ya wanafunzi wasichana katika shule za serikali ni 22,106,idadi ya wanafunzi wa wavulana katika shule za serikali 19,469.
Jumla ya idadi ya wanafunzi wavulana katika shule za watu binafsi ni 5,878,na idadi ya wanafunzi wa wasichana katika shule binafsi ni 4,708.
Idadi yote ya wanafunzi waliopo Temeke kwa mwaka 2018 ni jumla ya wanafunzi 52,161.
Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.
Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam
Simu ya Mezani: +255 22-2928132
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz
Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke