• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Mkuu wa Wilaya ya Temeke akiweka bayana mambo ya kuzingatia katika utambuzi wa ugawaji wa vitambulisho vya wajasiriamali

Posted on: February 26th, 2019

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh Felix Lyaniva  amefanya ukaguzi  na ugawaji wa vitambulisho kwa wajasiriamali  wadogowadogo katika soko la Kampochea na Mbagala Rangi Tatu Jijini Dar es salaam.

Kabla ya ugawaji wa vitambulisho hivyo Mh Lyaniva aliwaelimisha wajasiriamali hao umuhimu wa kuwa na kitambulisho hicho cha utambuzi ambacho ni silaha kwa mfanya biashara ndogondogo,  na kuwataka wavivae vionekane na si kuviweka mfukoni.

“Ninawataka wajasiriamali muelewe umuhimu wa kuwa na kitambulisho hichi sambamba na uvaaji wake na si kukiweka katika pochi ama kukiacha nyumbani,mvae vionekane ili tuwatambue popote mtakapokuwa mnafanya shughuli zenu za kutafuta riziki”alisema .

Mh. Lyaniva alilazimika kufanya ukaguzi huo ili kuhamasisha wajasiriamali kuchukua  vitambulisho hivyo ili kuondokana na usumbufu wa kutokutambulika na kuondokana na adha na kero za kutokutambulika kisheria.

“Mkumbuke kuwa zoezi hili ni endelevu na tutapita kila wakati kuona kama wajasiriamali wote wanatambulika kisheria ili tuanze msako wa kuwabaini wasio navyo”alisisitiza.

Ikumbukwe kuwa vitambulisho hivyo ni maalumu kwa baadhi ya makundi ya wajasiriamali kama vile Mama lishe, Wakaanga chipsi, Waosha magari, Wauza CD, Wachinja kuku, Washona nguo, Wapaka rangi za kucha, Wakatisha tiketi za mabasi,Mafundi seremala, pamoja na wengine wa makundi ya muundo huo.

Katika Wilaya ya Temeke ilipatiwa jumla ya vitambulisho elfu ishirini na saba (27,000) na mpaka sasa vimeshagaiwa vyote kwa wahusika na wafanyabiashara wananendelea na biashara zao kama kawaida.

vilizinduliwa na Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli  mnamo 2018 mwezi Desemba ,ikiwa na lengo la kuwasaidia wajasiriamali hao wa biashara ndogondogo na kufanya watambulike kisheria.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke