• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

VIFAA VYA KIDIGITALI KUNUFAISHA WANANCHI WA TEMEKE

Posted on: August 17th, 2022

Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo amezindua vifaa tiba vya kidigitali katika kituo cha afya Yombo Vituka kilichopo Manispaa ya Temeke.

Vifaa vilivyozinduliwa leo ni pamoja na Ultra sound na X-ray aina ya flat pannel detector digitalization vyenye thamani ya sh .Mil 56 ikiwa ni pamoja na gharama za kufungwa kwake.

Aidha Mhe.Jokate amewasisistiza watoaji huduma wa kituo hicho kuhakikisha wanatunza vifaa hivyo pia kutoa huduma bora kwa wananchi na kuwapa kipaumbele wazee wanapokuja kupata huduma katika kituo hicho.

"Nimpongeze Mhe.Rais kwa kuendelea kuwahudumia wananchi katika sekta ya afya husani wakazi wa Temeke,tumepata zaidi ya bilioni 2 kwa ajili ya upanuzi wa hospitali ya Rangitatu na leo tena vifaa tiba hivi vya milioni 56,tumshukuru sana mama Samia Suluhu Hassan".Alisema Mkuu huyo wa wilaya

Naye Diwani wa kata hiyo Mhe.Fulgence Lwiza amefurahishwa na ujio wa vifaa hivyo vya kidigitali na kumpongeza Mhe Jokate kwa kazi kubwa anayoifanya lakini pia alielezea changamoto wanazokabiliana nazo katika kituo hicho zikiwemo maji,chumba cha kuhifadhia maiti pamoja na kituo cha daladala.

Kwa upande wake Mganga mfawidhi wa kituo hicho Dkt.Boniface Mruma ameeleza matarajio ya ununuzi wa vifaa hivyo ikiwa ni pamoja na kuongeza utoaji wa huduma za kisasa kama vile upimaji wa ujauzito,kifua,moyo,mishipa ya damu ,figo,uvimbe kwenye mfumo wa uzazi na kupunguza gharama za uendeshaji wa matibabu hayo.

Akizungumza wakati akimkaribisha Mkuu wa wilaya,Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Elihuruma Mabelya aliwataka watumishi hao kuendelea kutoa huduma bora na kutunza vifaa hivyo vilivyotolewa kwa pesa za walipa kodi.

Uzinduzi huo pia ulihudhuriwa na Mbunge wa jimbo la Temeke Mhe.Dorothy Kilave,Diwani wa kata ya Miburani Mhe.Rajabu Mkenga ambaye alimuwakilisha mstahiki Meya Abdallah Mtinika.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke