• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Ziara ya RC Makonda Manispaa ya Temeke

Posted on: November 3rd, 2019

RC MAKONDA ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA TEMEKE.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Paul Makonda ameridhishwa na kasi utekelezajia wa miradi ya maendeleo katika Manspaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam.

Amebainisha hayo leo alipofanya ziara katika Manispaa ya Temeke na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Felix Lyaniva pamoja timu ya wataalam wa Manispaa wakiongozwa na kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Ndg Deogratius  Lukomanya

Akiwa katika ziara hiyo amekagua miradi mitatu ya maendeleo ikiwemo Ujenzi wa barabara ya mwendokasi Mbagala, Ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa na Ujenzi wa Soko la Kisasa Kata ya Makangalawe.

Katika picha Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda akiwa na timu yake wakati wa ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa Barabara ya Mwendokasi Mbagala Manispaa ya Temeke.


Akiwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya mwendokasi mbagala unaojengwa na Kampuni ya SINOHYDRO CORPARATION LIMITED Mhe Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda amemtaka mkandarasi wa kigeni ambaye anajenga barabara hiyo kuhakikisha vibarua wadogowadogo anaajiri wazawa ambao ni wakazi wa Temeke ili nao wajipatie ajira.

Wakati huo akiwa anaendelea na ukaguzi wa sehemu ambayo kuna vifaa vya ujenzi wa barabara hiyo ya mwendokasi wakatokea vijana ambao ni wazawa wa eneo hilo wakamuomba mkuu wa mkoa kuwasaidia kupata ajira ndogondogo kwenye kampuni hiyo hapohapo Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Makonda akaamuru waandikwe majina na kampuni hiyo na wawe wa kwanza kufikiriwa katika ajira.

Lakini pia alienda mbali zaidi  Mhe Mkuu wa Mkoa akasema kwa vijana wetu ambao wako kwenye vyuo wanasomea fani za uhandisi wapatiwe fursa za kufanya field katika kampuni hizo za ujenzi, hiyo itasaidia mwisho wa siku kuwa na wataalam wazuri wa ndani ambao nao wataweza hata kufanya kazi mataifa mengine kama ilivyo kwa wao ambao wametoka nje na wanafanya kazi kwetu Tanzania.

Aidha alipotembelea Kiwanja cha Mpira Makangalawe na Soko la Kisasa katika kata hiyo akasema nimeridhishwa na miradi hiyo ya maendeleo kwa wananchi ambayo inatekelezwa na  DMDP na mingine Manispaa kwa kuwa inaendelea vizuri na inatija kwa wananchi.


Mkuu wa Mkoa Mhe Paul Makonda akiwa amekaa na timu ya wataalam katika uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu unaojengwa na DMDP  kata ya Makangarawe Temeke wakati wa ziara yake leo.


Mwonekano wa Soko la kisasa la Makangalawe Temeke ambalo pia lilitembelewa na Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda

Mwisho amewataka wananchi wa Temeke kwa kuwa kipindi hiki ni cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa wasifanye makosa wachague viongozi watakao leta maendeleo katika ngazi za mtaa na kata waachane na viongozi ambao hufikiria matumbo yao na sio wananchi wanyonge , tupate viongozi wazuri watao msaidia Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli katika dhamira yake ya kuwaletea wananchi maendeleo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke