• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TEMEKE YAENDELEA KUWAWEZESHA WANAFUNZI WANAOTOKA KWENYE MAZINGIRA MAGUMU

Posted on: September 24th, 2025

Manispaa ya Temeke imeendelea kutekeleza awamu ya pili ya mpango wa kuwasaidia Wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu ambapo Septemba 24,2025 Wanafunzi 82 wamepatiwa mahitaji muhimu ya shule ikiwemo sare za shule (uniform), begi, madaftari 6, jozi ya viatu, soksi, peni, penseli nakadhalika baada ya awamu ya kwanza iliyofanyika mwezi Mei ambapo jumla ya Wanafunzi 80 walipatiwa vifaa.


Akizungumza katika hafla hiyo kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Yahya Madenge amesema


“Watoto hawa wanapatiwa seti nzima wanayohitaji ili kuwawezesha kufika na kusoma vizuri wakiwa shule, vifaa hivi vinatokana na pesa kutoka Serikalini (Tamisemi na mapato ya ndani ya Halmashauri) maana ya haya yote ni kwamba mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anawajali na anawajibika kwa ajili yenu, anatamani kuendelea kuwapunguzia mzigo ili jukumu lenu libaki kuwasimamia watoto wasome kwa bidii” Aidha mkurugenzi Madenge aliongeza kuwa tarajio la Serikali baada ya kugawa vifaa hivyo ni kuona watoto wanakwensa shule vizuri (mahudhurio) na kuwataka kuwasaidia Watoto kuvitunza vifaa hivyo.


Aidha Afisa elimu Samwel Mshana amesema

“Tuliona badala ya kuwapa chakula tuwape mahitaji muhimu ya shule ili kuwawezesha kusoma na mzazi apunguziwe mzigo wa kununua vifaa kutokana na hali ya maisha, wazazi muone namna gani Serikali yenu inawajali na sasa jukumu lenu ni kuweka mkazo na msukumo ili watoto hawa wasome kwa juhudi.”


Zainab Ramadhan, mwanafunzi wa darasa la sita, alipokea msaada huo kwa furaha na kuahidi kuvitumia vizuri vifaa hivyo na kuahidi kufaulu vizuri.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TEMEKE YAENDELEA KUWAWEZESHA WANAFUNZI WANAOTOKA KWENYE MAZINGIRA MAGUMU

    September 24, 2025
  • TIMU YA UTEKELEZAJI DMDP II YATEMBELEA MIRADI KUKAGUA MAENDELEO YAKE

    September 22, 2025
  • MD SATURA ATOA MAAGIZO "WALIMU WENYE MAHITAJI MAALUM WAZINGATIWE"

    September 22, 2025
  • MIKATABA YA UJENZI WA SHULE MPYA ZITAKAZOGHARIMU BILIONI 7.16 YASAINIWA TEMEKE

    September 21, 2025
  • Angalia zote

Video

TEMEKE YAWEZEKEZA BILIONI 35 SEKTA YA ELIMU PEKEE MWAKA WA FEDHA 2025/26
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke