• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA "MASTERPLAN" KWA KISHINDO

Posted on: January 30th, 2023

Na: Nassoro Rashid

TMC Habari

Januari 30, 2023 Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Mhe. Anord Peter ameongoza baraza maalumu la kuwapatia madiwani pamoja na watumishi uelewa juu ya mpango kabambe wa jiji la Dar es salaam unaoratibiwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuanzia mwaka 2016 - 2036.

Akizungumza mara baada ya kikao hicho Mhe. Anord amesema Madiwani pamoja na Watumishi walipata fursa hiyo ikiwa ni maelekezo ya Waziri wa Ardhi katika upatiwaji wa uelewa juu ya mkakati wa serikali wa namna ya kulipanga jiji la Dar es Salaam.

"Tumeona mpango wa jiji hili umegusa katika maeneo mbalimbali ikiwemo barabara, maji safi na uhifadhi maji taka, umeme, masoko, mifereji lengo ikiwa kuondoa adha na kumlenga Mwananchi moja kwa moja kwa kutatua changamoto mbalimbali zinazomkabili" Alisema Mhe. Anord.

Kadhalika Mhe. Anord amesema mpango huo unakuja kutekelezwa pia katika ngazi ya Halmashauri ikiwa ni mkakati endelevu wa kumkomboa Mwananchi wa kawaida hivyo wao kama Viongozi wameupokea kwa mikono miwili.

Naye Kaimu Mkuu wa Idara ya Ardhi Manispaa ya Temeke Ndugu Salumu Urembo amesema kikao hichi ni utekelezaji wa maazimio ya kikao cha Januari 06,2023 cha Waziri wa Ardhi kwa kuwa mpango unatekelezwa Dar es Salaam,aliona ni vema Viongozi wake wapate uelewa ili kuwapatia elimu Wananchi ,wakati utapotekelezwa iwe rahisi kupokelewa.

Mpango huo wa miaka 20 unatarajiwa kuwa chachu ya mabadiliko na utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazoendelea kuwakabili Wananchi ikiwemo utatuzi wa msongamo wa watu na vyombo vya usafiri katikati ya jiji, umeme, maji safi na uhifadhi wa maji taka, viwanda na biashara, mfumo wa kitaasisi na upatikanaji wa huduma za Serikali kwa Wananchi kwa urahisi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke