• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Kamati ya fedha na uongozi ya Manispaa ya temeke yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo.

Posted on: October 16th, 2018

Kamati ya fedha na uongozi ya Manispaa ya temeke imefanya ziara na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa lengo la kushauri na kutoa maelekezo yatakayo saidia kuimarisha utekelezaji wa miradi hiyo kwa wakati na iweze kuleta tija kwa jamii.

Kamati  iliweza kutembelea mradi wa maji katika kata ya mbagala kuu mtaa wa kizuiani ambapo ujenzi unaendelea,sambamba na hilo kutakuwa na ujenzi wa mradi wa usambazaji maji katika eneo la mbuyuni kata ya Azimio.

Pia walipata wasaha wa kutembelea ujenzi wa soko la Makangarawe litakalokuwa na ghorofa moja pamoja na majengo ya pembeni yatakayojengwa maduka,mabucha na ofisi za soko hilo litakalokuwa na uwezo wa kuchukua wafanyabiashara 290.

Vilevile kamati ilijionea ujenzi wa kitui cha afya Buza ambapo ujenzi ukikamilika utakiwezesha kuwa kituo cha afya cha kawaid pamoja na huduma ya mama na mtoto, huduma ya mionzi pamoja na yakulaza wagonjwa.

Kamati ilifanikiwa kutembelea na kukagua shule mpya ya msingi kata ya Kilungule ambapo ujenzi wa vyumba 14 vya madarasa na matundu ya vyoo yanaendelea,kwa upande wa shule ya msingi  Mgeninani ujenzi  wa vyumba 3 vya madarasa unaendelea ambapo shule hio inauhitaji wa vyumba 14 pamoja na matundu 6 ya vyoo.

Ziara hiyo ilikamilishwa kwa kutembelea barabara ya Chang’ombe yenye urefu wa km18 ambapo kamati imemtaka mkandarasi mwenye dhamana ya ujenzi huo kuhakikisha inakamilika kwa wakati kabla msimu wa mvua haujaanza.

Kamati ilishukuru watendaji kwa namna wanavyojitahidi kuhakikisha fedha zilizotengwa katika miradi zinatumika kikamilifu ili kuleta maendeleo kwa wananchi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke