• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

KUELEKEA UCHAGUZI KATA YA MBAGALA KUU, WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WANOLEWA.

Posted on: December 27th, 2025

Na: Abdulhamidu Shaban, TMC Habari

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbagala Wakili Fortunata Shija amewataka Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura kuzingatia Sheria, Kanuni na Miongozo ya Uchaguzi pamoja na kufuata Maelekezo kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ili kuongeza ufanisi katika Zoezi la Upigaji Kura.

Wakili Shija ameyasema hayo leo Desemba 27, 2025 wakati akifungua Mafunzo ya wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura yaliyofanyika katika Ukumbi wa Hela Sita Kata ya Kijichi ikiwa ni Maandalizi kuelekea Siku ya Uchaguzi wa Marudio Nafasi ya Udiwani utakaofanyika Jumanne ya Desemba 30, 2025.

" Msiache kusoma mara kwa mara katiba, sheria, kanuni, taratibu na kuzingatia maelekezo yote yanayotolewa na Tume na ullizeni ili mpate kutatua changamoto katika maeneo yenu". Alisema Wakili Shija

Aidha Mratibu wa Uchauzi Mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Gerald Peter Sondo amewasihi washiriki wa mafunzo hayo kulibeba jambo la Uchaguzi huo kwa umakini katika utekelezaji wake kwani hilo ni suala la kitaifa.

"Kura Yako Haki yako Jitokeze Kupiga Kura"

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • RC CHALAMILA AKABIDHI HUNDI YA BILIONI 7.5 MIKOPO YA ASILIMIA KUMI KUNDI LA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU TEMEKE.

    January 27, 2026
  • RC CHALAMILA AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KUSHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA YA RAIS SAMIA, ATOA AHADI YA MILIONI 5 SHULE YA MSINGI GOROKA 'A'.

    January 27, 2026
  • TEMEKE KUANDAA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO.

    January 27, 2026
  • WALIMU WENYE MAHITAJI MAALUM WAWEZESHWA TEMEKE.

    January 26, 2026
  • Angalia zote

Video

TEMEKE YAWEZEKEZA BILIONI 35 SEKTA YA ELIMU PEKEE MWAKA WA FEDHA 2025/26
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke