• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

LEAT na Mikakati Madhubuti Kutatua Changamoto za Kimazingira Mkoa wa Dar es Salaam

Posted on: April 15th, 2021


Meneja mradi ambae pia ni Afisa wa LEAT, Wakili Teresia Fabian,akizungumza na waandishi wa habari katika mahojiano mafupi yaliyofanyika wakati wa Mkutano huo.

Wajumbe wa kamati za Mazingira kutoka  manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika majadiliano,wakati wa mkutano huo.


Kamati za mazingira Mkoa wa Dar es Salaam chini ya uratibu wa asasi isiyokuwa ya kiserikali ya 'Lawyers Environment Action Team' (LEAT) kwa mara nyingine tena zimekutana katika hoteli ya 'Rombo Green View' iliyopo Shekilango .

Meneja mradi wa kulinda haki za kimazingira kwa wanawake,vijana,wasichana na jamii kwa ujumla,kupitia kuwezesha jamii katika masuala ya kisheria mkoa wa Dar es Salaam, Wakili Teresia Fabian ameeleza lengo la mkutano huo ambapo amesema kwamba kamati za mazingira ambazo ziliundwa ili kuainisha changamoto za kimazingira,na baada ya kuziainisha,kuzitafutia utatuzi, kwa kushirikiana na LEAT zimekutana ili kujadili na kuainisha maeneo yenye changamoto,na baada ya kuziainisha,LEAT pamoja kamati hizo watafanya ziara katika maeneo hayo.

"Katika utekelezaji wa shughuli za mradi,ziliundwa timu za watu saba katika kila Manispaa,ambao ni Waheshimiwa Madiwani 2,Maafisa Mazingira 2,Mtendaji wa Kata mmoja,Afisa Maendeleo ya Jamii mmoja,pamoja na Afisa Habari. 

Timu hizi zinafanya kazi kwa karibu na wenyeviti wa mitaa,pamoja na maafisa Afya wa Kata.Baada ya timu hizo kuundwa, tulikutana,tukajadili,kisha tukaainisha maeneo yenye changamoto za kimazingira,tukafanya ziara katika maeneo hayo,baada ya ziara tulikutana tena, tukajadiliana kuhusu changamoto tulizokutana nazo huko,na kutoa masuluhisho juu ya namna ya kutatua changamoto hizo. 

Baada ya ziara hizo ambayo zilikuwa na mafanikio makubwa,leo tumekutana tena hapa,kila timu itakaa,itajadili na kuanisha maeneo ya kufanya ziara na changamoto zilizopo katika maeneo hayo ,kile tulichokifanya katika ziara zilizopita kwenye maeneo tuliyotembelea,tunakwenda kukifanya tena katika maeneo mengine" Alisisitiza Wakili Fabian.

Katika mkutano huo kila kamati imeainisha maeneo ya kwenda kutembelea,changamoto zilizopo ,vifaa vinavyohitajika ili kutatua changamoto hizo.

Aidha kila kamati imependekeza tarehe ya kufanya ziara katika maeneo yake ,ambapo ziara hizo zinatarajiwa kufanyika kati ya tarehe 19/04 hadi  27/04/2021.

Kwa manispaa ya Temeke maeneo yatakayotembelewa ni Kata ya Kijichi,mtaa wa Misheni  na Kijichi,Kata ya Mbagala Kuu, mtaa wa Mbagala Kuu Mashariki.

LEAT ni asasi isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na masuala mbalimbali ya mazingira,ikiwemo utatuzi wa changamoto za kimazingira,kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ,kutoa msaada wa kisheria,pamoja na utoaji wa elimu kwa jamii kuhusu haki ya kuishi katika mazingira salama,na utunzaji wa mazingira.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke