• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MKURUGENZI MABELYA ASHIRIKI MAFUNZO NCHINI JAPAN

Posted on: November 28th, 2023

Nissan Stadium, Yokohama -Japan.

Uwekezaji kwenye Miundombinu ya Michezo, uendelezaji na uibuaji wa vipaji ni maswala yanayoenda sambamba na ukuzaji wa Tasnia ya Michezo.

Manispaa Ya Temeke tunaendelea kumshukuru Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Uwekezaji, Hamasa na Msukumo mkubwa anaouweka katika kuhakikisha Diplomasia ya Michezo na hasa Mchezo wa Soka unafanya Vizuri na unawapatia Vijana Ajira pamoja nakuitangaza Nchi yetu Kimataifa.

Na uthibishso wa hilo ni kufuzu kwa Timu yetu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kushiriki mashindano ya AFCON yatakayofanyika Mwaka 2026.


Tarehe 26 November 2023 nilipata bahati yakufika nakujionea Uwanja maarufu Nchini Japan na Duniani uwanja wa Kimataifa wa Nissan Stadium (International Stadium Yokohama) ambao ulitumika kwa Mechi za Kundi la Tatu la Fainali za Kombe la Dunia Mwaka 2002 na Mechi Mashuhuri ya Fainali ya kombe hilo Kati ya Brazil na Ujerumani tarehe 30 June 2002 ambapo watazamaji elfu sitini na Tisa na ishirini na Tisa (69,029) walishuhudia Mechi hiyo ambapo Brazil ilishinda Goli 2 kwa Sifuri dhidi ya Ujerumani ( Brazil 2-Germany 0) Magoli yaliyofungwa na Ronaldo Dakika ya 67’ na 79’ ambae ndiye alikuwa Mchezaji Nyota wa Mchezo huo , Kapteni wa Timu akiwa Marcos Evangelista de Morais almaarufu kama Cafu na Kocha wa kikosi hicho akiwa Luiz Felipe Scolari.

Refarii wa Mchezo huo alikuwa Pierluigi Collina kutoka Italia.


Nimejionea utunzaji Mzuri wa kumbukumbu pamoja na vifaa zikiwemo Jezi Halisi zilizotumika siku ya Mechi hiyo ndani ya Chumba cha Mapumziko walichotumia Team ya Brazil kabla na baada ya Mechi hiyo.

Kivutio kikubwa ilikuwa nikuona Maandishi ya Maelekezo (Mbinu ya Mchezo huo) aliyokuwa akiandika ubaoni Kocha Luiz Filipe Scolari kuilekeza Timu nini cha kufanya Kabla ya Mechi na kipindi cha Mapumziko.


Manispaa ya Temeke tutaendelea kusimamia nakuweka msukumo katika Michezo na kuibua vipaji vya Mpira wa miguu na Michezo mingine na Burudani kama vile Mpira wa Kikapu, Netiboli , Mchezo wa Ngumi na Muziki.

Vilevile tutawaenzi wanamichezo kutoka Manispaa yetu kwakuweka nakutunza Kumbukumbu zao ili kusaidia kizazi kipya cha wanamichezo kujifunza Mazuri waliyofanya.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke