• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MKURUGENZI TEMEKE AELEZA MAFANIKIO

Posted on: September 28th, 2022

Na Shalua Mpanda

Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Temeke ndugu Elihuruma Mabelya amekutana na wandishi wa Habari  leo Septemba 28,2022 kueleza mafanikio ambayo yamepatikana kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2021/22.

Mkurugenzi Mabelya ameeleza kuwa katika kipindi hicho manispaa ya Temeke ilipanga kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 37 lakini ikakusanya bilioni 39 sawa na asilimia 106%.

Kwa upande wa elimu sekondari,Manispaa imeweza kutekeleza miradi mbalimbali yenye thamani ya shilingi bilioni 4.8 ikiwa ni pamoja na ujenzi wa vyumba vya madarasa 175,bweni 1,bwalo 1,matundu ya vyoo 90,maabara 12,shule mpya moja na miundombinu ya maji.

"Mafanikio haya yametokana na ushirikiano mkubwa wa Baraza la madiwani likiongozwa na Mstahiki meya Mtinika,wamekuwa wakituongoza pale walipoona tunakosea, tunawashukuru sana".Alisema

Pamoja na kuainisha mafanikio katika sekta zote ikiwemo afya,maendeleo ya jamii,ujenzi nk,Mkurugenzi amesisitiza juhudi na uwajibikaji katika kazi ili kuendelea kuhudumia Wananchi kwa kuwa maendeleo hayana kikomo.

Aidha amewashukuru Wananchi kwa kuelewa umuhimu wa kulipa kodi na tozo mbalimbali hali inayochangia kuongezeka kwa mapato ya ndani ambayo yanawezesha kujenga miundombinu.

Pia amemshukuru mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha katika Manispaa hii ambapo amesema katika kuboresha sekta ya afya,serikali Kuu imetoa kiasi cha shilingi bilioni 2 kufanya upanuzi wa hospitali ya Mbagala Rangitatu.

Manispaa ya Temeke imepanga kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 43 kwa mwaka wa fedha 2022/23 ,ili kufikia lengo hilo,Mkurugenzi amewasihi Wananchi kuendele kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kulipa kodi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke