• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MKUTANO WA KWANZA WA MADIWANI WAFANYIKA, UCHAGUZI KUMPATA MEYA MPYA

Posted on: December 3rd, 2025

Na Joanita Joseph, TMC habari


Baraza Jipya la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Temeke limekutana leo Desemba 3, 2025 na kumchagua Mhe. Uzairu Abdul Athuman kuwa Mstahiki Meya huku Mhe. Nuru Cassian Bayingana akiwa Naibu wake.


Tayari Madiwani wameunda Kamati za kudumu na zisizo za kudumu kwa Mujibu wa Kanuni na Sheria na kuchagua Wenyeviti wao, huku Mstahiki Meya Uzairu akitoa Dira na Mwelekeo wa Baraza analolitaka akiahidi kuiongoza Manispaa ya Temeke kuwa ya Viwango na Kisasa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha Utekelezaji wa Ahadi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alizozitoa ndani ya siku 100 toka alivyoapishwa zinafanyika, kusimamia Matumizi sahihi ya Rasilimali fedha na watu ndani ya halmashauri, kusimamia Mipango na utekelezaji wa Miradi ya maendeleo, uwezeshaji wa Vijana katika kuwapatia fursa za ajira, Mikopo na utekelezaji wa Mipango ya Wizara mpya ya Vijana.


Kwa upande wake Katibu Tawala Msaidizi Ukaguzi na Ufuatiliaji Mkoa wa Dar es salaam amebainisha kuwa Temeke ni miongoni mwa Injini ya uchumi katika Mkoa wa Dar es salaam hivyo kutoa Wito  kwa Madiwani kusaidiana na Mkurugenzi kukusanya mapato, kusimamia Watumishi na kuepuka migogoro inayotokana na kutofuata Sheria na taratibu.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • RC CHALAMILA AKABIDHI HUNDI YA BILIONI 7.5 MIKOPO YA ASILIMIA KUMI KUNDI LA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU TEMEKE.

    January 27, 2026
  • RC CHALAMILA AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KUSHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA YA RAIS SAMIA, ATOA AHADI YA MILIONI 5 SHULE YA MSINGI GOROKA 'A'.

    January 27, 2026
  • TEMEKE KUANDAA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO.

    January 27, 2026
  • WALIMU WENYE MAHITAJI MAALUM WAWEZESHWA TEMEKE.

    January 26, 2026
  • Angalia zote

Video

TEMEKE YAWEZEKEZA BILIONI 35 SEKTA YA ELIMU PEKEE MWAKA WA FEDHA 2025/26
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke