• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MSAADA WA KISHERIA WA MAMA SAMIA UPO KIKATIBA-DKT NDUMBARO

Posted on: June 16th, 2025

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amezungumza na hadhara na kutoa salam za Wizara ya Katiba na Sheria katika Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia (MSLAC)

“Msaada wa kisheria wa mama Samia una msingi wa kikatiba hasa ibara ya 13. Lakini pia jambo hili lina msingi wa Ilani ya chama cha mapinduzi inayosisitiza Wananchi wapate msaada wa kisheria na ufahamu wa sheria. Lakini pia msingi mwingine ni maelekezo ya Mhe Rais alipotutaka tuandae mpango wa kutoa msaada kwa wananchi wenye uhitaji na tukaja na kampeni hii ambayo mpaka sasa imewafikia wananchi wengi sana kufikia leo. Mhe. Mgeni rasmi mambo haya yamefanyika nchi nzima tumepita katika mikoa yote 31 ya Tanzania bara pamoja na Tanzania Zanzibar kutoa msaada na elimu ya kisheria.

Kauli mbiu “ *msaada wa kisheria kwa haki amani usawa na maendeleo*

Tumetekeleza haya kwa vitendo na tumetumia falsafa ya Mhe. rais ya 4R. Tumeelimisha watu kuwa wastahimilivu wanapopata changamoto za kisheria. Tumekwenda mpaka kwenyw magereza na kutoa msaada kwa wafungwa 28 elfu na tutaomba leo ukabidhi vifaa vya tehama ikiwemo TV Inch 65, camera, printer na vinginevyo ili kupunguza gharama  za usafiri.

Tumeshirikiana na wadau na mashirika mbalimbali kama UN, WOMEN, GIZ,  aida, wadau wa ndani iliwemo LSF, benki ya CRDB na NMB , vyuo vikuu mbalimbali .

Elimu itakayotolewa hapa leo itakugusa maeneo ya haki za binadamu, migogoro ya ndoa, mirathi na mambo mengine mbalimbali. Wataalam wa sheria waliolipiwa kila kitu na mama samia watatoa msaada katika maeneo yote ya mkoa wa dsm hivyo wananchi msisumbuke kwenda mbali utapata haki uelewa na kuondoa upotofu uliopo kwenye jamii katika sheria

Tumejipanga kutoa elimu na kueleza mabadiliko 15 yaliyofanywa kwa ushirikiano wa wadau wote muhimu ili tuweze kwenda kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025” Amesema Dkt. Ndumbaro.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke