• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

NINA IMANI KUBWA SANA JUU YENU- MD SATURA AWAFUNGUKIA WANAMICHEZO TEMEKE

Posted on: August 23rd, 2025

Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Ndg. Jomaary Satura amezungumza na Wanamichezo wanaoshiriki Mashindano ya SHIMISEMITA 2025 Jijini Tanga na kuwapongeza kwa juhudi kubwa na kujitoa kwao pamoja na kuwatia moyo katika mashindano hayo na kuwataka kuendelea kuilinda na kulitaja vizuri jina la manispaa ya Temeke.


Akizungumza katika kikao kifupi kilichofanyika mara baada ya uzinduzi wa mashindano, Satura ameeleza kuwa licha ya ujio wake katika uzinduzi amefurahishwa na bado anayo imani kubwa kwa timu zake. Amesema


“Mimi nimekuja kuwapongeza kwa jitihada kubwa mnazofanya na kuwasalimia ili kujua mnaendeleaje. Kwa kweli ninayo imani kubwa sana juu yenu, mnapambana na tunaona juhudi zenu, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa kila kinachoendelea huku nafahamu kila kitu, nafurahishwa tunakwenda vizuri licha ya changamoto za hapa na pale. Nafahamu ugumu wa mashindano, mimi niliwahi kushiriki mchezo wa kuvuta kamba kwa kweli inahitaji nguvu maana nilinyanyuliwa juu lakini kwa kujitoa kwenu mnafanya vizuri huko pia na pongezi ziwafikie timu ya ‘netball’ kwa ushindani mnaoutoa”


Aidha mkurugenzi Satura ameeleza kuwa ujio wake katika uzinduzi wa mashindano hayo umemuwezesha kupokea maelekezo ya moja kwa moja kutoka kwa mhe. Naibu waziri TAMISEMI na kuwaahidi Wanamichezo kuyafanyia kazi maelekezo hayo.


“Lakini pia nimepokea maelekezo ‘direct’ kutoka kwa mhe. Naibu Waziri Katimba kitu ambacho ni chema zaidi. Tunacho ahidi kama halmashauri na kama yalivo maelekezo ya timu zetu zitaendelea kushiriki, sio tu kwasababu tunafanya vizuri katika eneo la ukusanyaji wa mapato ni kwasababu pia ya ‘welfare’ ya Mtumishi. Tutakaporudi kwenye maeneo yetu ya kazi tukafanye kazi vizuri na kwa ushirikiano ili tutengeneze mazingira ya kushiriki tena na tena”


Mkurugenzi Satura amewataka Wanamichezo kuzungumza mambo mazuri yanayopatikana Temeke ili kutoa fursa kwa halmashauri nyingine kujifunza na kuyajua mema yanayopatikana Temeke.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • JESHI LA AKIBA LAADHIMISHA MIAKA 61 KWA KURUDISHA KWA JAMII

    September 01, 2025
  • WALIMU 500 WAPATIWA MAFUNZO JUU YA UKUSANYAJI WA TAARIFA ZA MAJENGO

    August 29, 2025
  • WAKURUGENZI WAAGIZWA KUWEZESHA WANAMICHEZO

    August 29, 2025
  • SHIMISEMITA YAHITIMISHWA, TEMEKE YAIBUKA NA VIKOMBE VITATU NA MEDALI MOJA

    August 29, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke