• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

RC CHALAMILA AWATAKA WAKUU WA WILAYA DSM KUIGA MFANO TEMEKE

Posted on: September 16th, 2023

Na Shalua Mpanda, TMC


Maadhimisho ya Siku ya Usafi Duniani yameadhimishwa leo Septemba 16, 2023, ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala, wilayani Temeke.


Akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyoanza kwa matembezi ya mwendopole (jogging) na zoezi la usafi, Mkuu huyo wa Mkoa ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Mkuu wa Wilaya kwa kuwa kinara katika kampeni ya usafi mkoani Dar es Salaam.


Mhe. Chalamila amesema katika mkoa wa Dar es salaam Manispaa ya Temeke pekee ndio yenye kampeni kubwa ya usafi na viongozi wake wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mhe. Mobhare Matinyi, wamekuwa mstari wa mbele kusimamia usafi.


"Mkuu wa Wilaya na menejimenti yote ya Manispaa Temeke imekuwa na kazi nzuri sana ya kusimamia usafi na nitoe rai na wito kwa wakuu wa wilaya, mameya na wakurugenzi wote wa mkoa wa Dar es Salaam kuiga mfano wa kampeni inayofanywa Temeke," alisema Mhe. Chalamila.


Akimkaribisha Mkuu wa Mkoa kuzungumza na wananchi pamoja na wadau wa usafi, afya na mazingira, Mkuu wa Wilaya Mhe. Matinyi alisema kuwa kwa kuona umuhimu wa usafi wa mazingira wana-Temeke waliamua kuanzisha wiki ya usafi iliyozinduliwa Septemba 11 mwaka huu kwa kufanya shughuli mbalimbali zikiwemo usafishaji wa mitaro, mifereji, masoko na mitaa.


Maadhimisho hayo ya Siku ya Usafi Duniani yamefikia kilele leo hii lakini Mhe. Matinyi ametumia nafasi hiyo kutangaza wiki mbili zaidi za kuendelea na kampeni ya usafi kulenga mitaro na mifereji ili kujiandaa na mvua za El Nino zitakazoanza mwezi Oktoba.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke