• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

RC MAKALLA AAGIZA MICHORO SHULE YA GHOROFA BUZA

Posted on: June 17th, 2022

Kuelekea utatuzi wa changamoto ya uhaba wa vyumba vya madarasa inayozikabili shule nyingi Nchini hususani katika mkoa wa Dar es Salaam, mkuu wa mkoa Mheshimiwa Amos Makalla amemuagiza Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke na Mhandisi kumkabidhi michoro ya ghorofa itakayosaidia kutatua uhaba wa vyumba 60 vinavyohitajika katika shule ya msingi Buza.

Hayo yamesemwa leo Juni 17,2022 katika viwanja vya shule ya msingi Buza ambako Mhe. Makalla amefanya ziara akiambatana na mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo, Mshatiki Meya Abdallah Mtinika, Mkurugenzi wa manispaa Ndugu Elihuruma Mabelya na Wakuu wa idara mbalimbali za manispaa ambapo alitembelea kujionea hali halisi ya miundombinu iliyopo, inayotekelezwa na iliyopo kwenye mipango ya mbeleni. Alisema.

"Nimethibitisha shule ya msingi Buza kuna Wanafunzi wengi, na kwa hali halisi niliyoikuta hapa hilo eneo la kujenga madarasa 60 yanayohitajika halipo, kadri muda unavyokwenda tutahitaji madarasa zaidi na hututakua na mahali pa kuyajenga, maagizo yangu kwa Mkurugenzi na Mhandisi, nawapa mwezi mmoja mniletee michoro ya ghorofa litakalotatua changamoto ya uhaba madarasa yanayohitajika hapa, bila kuathiri kiwanja cha michezo"

Aidha Mhe. Makalla amepongeza Walimu wa shule hiyo, Wanafunzi, Uongozi wa shule na Manispaa kwa ujumla kwa ufaulu wa kuridhisha na ulinzi uliopo katika shule hiyo.

"Buza ni eneo maarufu Dar es Salaam, lakini mmefanikiwa kulilinda eneo hili kwa kuweka uzio katika eneo lote la shule, watoto wetu wako salama na wanafaulu vizuri, kwa miaka mitatu mfululizo ufaulu kwa darasa la 7 si chini ya 93% kutoka 85% mwaka juzi (2020) hii inaonesha kazi kubwa inayofanywa na walimu licha ya kuwa na jumla ya watoto 4,515 hapa" alisema RC Makalla.

RC Makalla anaendelea na ziara katika maeneo mbalimbali mkoani humu lengo likiwa kutatua changamoto za Wananchi na kuboresha mazingira.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke