• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

''Tuendelee Kuwaelimisha Wananchi juu ya Usalama na Umuhimu wa Kuchanjwa'' Mratibu wa Chanjo Temeke.

Posted on: November 10th, 2021

"Tuendelee Kuwaelimisha Wananchi juu ya Usalama na Umuhimu wa Kuchanjwa."Mratibu wa Chanjo Temeke. Mratibu wa chanjo wilaya ya Temeke ndugu Jumanne Kagoda amewataka wajumbe wa kamati ya Amani kuendelea  kuwaelimisha Wananchi juu ya usalama na umuhimu wa kuchanjwa, waondoe woga, wajitokeze kuchanjwa ili kujikinga na maambukizi ya UVIKO 19.


Kagoda ametoa rai hiyo leo Novemba 10,2021 wakati wa kikao cha Tathmini ya UVIKO 19 na kupokea taarifa ya  utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa huo Kiwilaya.Kikao ambacho kimeendeshwa na mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo.


Na  kuhudhuriwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Temeke ndugu Elihuruma Mabelya  na kaimu mganga mkuu  wilaya ya Temeke daktari Projest Mtasigwa.


Akizungumza wakati akitoa taarifa ya hali ya UVIKO 19 na zoezi la utoaji chanjo,

Kagoda amesema

"Tangu Agosti 3-21,2021 tumechanja jumla ya watu 20,049 kati yao wanaume 12,510 na wanawake 7,539 kwa chanjo ya Jansen na kuanzia Oktoba 22 hadi  Novemba 09,watu 912 wamechanjwa kati yao wanaume ni 472, wanawake 440 kwa chanjo ya Sinopharm.


Tumeendelea kuongeza vituo kufikia 62, kutoa huduma tembezi (outreach), tunatumia vituo vya afya na ofisi za Umma kuweka matangazo ili kuhamasisha Wananchi kupata chanjo".


Aidha Kagoda amesema kwamba zoezi la chanjo  kwa awamu ya pili linaendelea, na kwamba nia ya Serikali ni  kuwakinga Wananchi wake dhidi ya UVIKO 19. 


"Kwa awamu ya pili tunatakiwa kuchanja watu 600,057 ambayo ni asilimia 60% ya lengo.  Chanjo itakayotumika ni Sinopharm,  dozi mbili kwa kila mteja, tofauti na ilivyokuwa awali ambapo dozi ilikua moja kwa chanjo ya Jansen. Tuendelee  kuwaelimisha Wananchi juu ya usalama na umuhimu wa kuchanjwa,ili kujikinga dhidi ya  UVIKO 19.Watu wasiogope, tunashirikiana kwa karibu na TMDA kufuatilia hali za waliochanjwa na kuwasaidia endapo kuna hali tofauti".


Serikali kupitia wizara ya Afya inaendelea na zoezi la utoaji wa chanjo ya UVIKO 19 kwa watu wenye umri kuanzia miaka 18, lengo likiwa ni  kupunguza athari,pamoja na kukinga Wananchi dhidi ya maambukizi ya virusi vya Korona.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke