• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

wafanyabiashara wa Manispaa ya Temeke wasaini mikataba mipya

Posted on: October 3rd, 2018

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mh.Abdalah Chaurembo, amesaini mkataba na wafanyabiashara 189 ndani ya ukumbi wa Idd Nyundo uliopo Manispaa ya Temeke.

Hafla hiyo ilitanguliwa na utiaji saini,ambapo Mstahiki Meya aliwataka wafanyabiashara  kutunza mikataba yao ili kuepuka usumbufu na mianya ya ubadhirifu wa fedha za Halmashauri.

“katika mikataba hii tuliosaini leo itatuwezesha kupangisha na kupata fedha kiasi cha shilingi milioni 204,504,000/= kwa mwaka, ambapo vibanda 197 vilitangazwa na kati ya hivyo vibanda 189 vimepata wapangaji”Alisema.

Pamoja na hayo Mh.Mstahiki Meya aliwakumbusha wafanyabiasha hao kuwa mapato yanakusanywa kwa juhudi zote ili kutekeleza agizo la Mh Rais la kuzitaka kila Halmashauri zihakikishe zinakusanya mapato sambamba na usimamizi wa fedha za umma kwa maendeleo zaidi.

“ninatishwa ila nitasimama imara ili kuitetetea nchi yangu na Manispaa kwa ujumla,kwakua najua nasimamia haki ya wananchi wangu, hizi fedha tutazielekeza katika shule ili zitusaidie katika uboreshaji wa majengo na ikibidi kujenga majengo mapya pamoja na thamani zake”alisisitiza.

Nae Bi Khadija khatibu ambaye ni mfanyabiashara amesema “Nimefurahishwa sana na mikataba hii kwakuwa mwanzoni tulikuwa tunalipa kwa watu wasio rasmi na kupelekea mapato ya Halmashauri kushuka,lakini sasa tuna uhakika fedha zetu zinaenda mahali salama kwaajili ya ustawi wa Manispaa yetu”

Sambamba na hilo mpangaji hataruhusiwa kufanya biashara ya bar,biashara ya mziki,kufanya biashara yoyote inayoweza kuleta kelele, uchafuzi wa mazingira au biashara yoyote ambayo italeta usumbufu kwa wadau wa shule ,jamii na watu wengine wanaozunguka maduka hayo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke