• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

WATAALAM KUTOKA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII WATOA MAFUNZO YA KUJENGA UELEWA KWA VIONGOZI WA DINI

Posted on: October 19th, 2023

Na: Sweetbetter Njige

       TMC Habari


Taasisi ya Kimataifa inayojishughulisha na masuala ya Usawa wa Kijinsia ya UN Women imeendesha semina ya  kujenga uelewa na utetezi kwa viongozi wa dini juu ya ushirikishwaji wa Wanawake katika uongozi na haki za kiuchumi.


Semina hiyo imefanyika leo Oktoba 19,2023 katika shule ya msingi Bahati na kusimamiwa na wawezeshaji wataalam kutoka manispaa ya Temeke huku wakiwasihi viongozi wa dini kuisaidia Jamii kuondokana na uelewa duni juu ya haki za Wanawake.


Akizungumza katika semina hiyo afisa Maendeleo ya jamii manispaa ya Temeke Bi. Herrieth Kamara amesema semina hiyo inalenga kujenga uelewa kwa viongozi hao ili wakaisaidie jamii kubadili mtazamo juu ya uwezo wa mwanamke katika masuala ya uongozi na uchumi.


"Tumefanya semina hii kuwajengea uwezo viongozi wa dini ambayo kimsingi imewezeshwa na UN Women....tunaamini watarudi katika maeneo yao (Kanisani na Misikitini) kuwasaidia waumini kuelewa uwezo wa Mwanamke katika nyanja mbalimbali hasa katika Uongozi na Uchumi" Alisema Bi.Herieth


Kwa upande wao viongozi wa dini kupitia mwakilishi ndugu Robert Ibrahim wamewapongeza waandaaji wa semina hiyo na kuahidi kufikisha ujumbe sahihi kwa jamii.


"Leo tumejifunza vitu vingi ambavyo tunaona inapaswa kwenda kuelimishana ili kuelewa na kuthamini haki za mwanamke badala ya kumtazama tu(mwanamke) kwa namna alivyo".Alisema kiongozi huyo


Semina hiyo itaendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali ili kuleta uelewa wa pamoja wa jamii juu ya ushirikishwaji wa Wanawake katika nyanja tajwa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke